UTAMBUZI WA MIFUGO KWA HERENI ZA KIELEKTRONIKI UMESITISHWA KWA MUDA-MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa zoezi la utambuzi wa mifugo kwa kutumia hereni za kielektroniki na kuzuka kwa moto katika Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro, Bungeni jijini Dodoma Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa zoezi la utambuzi wa mifugo kwa kutumia hereni za kielektroniki na kuzuka kwa moto